JB Mpiana na Wenge BCBG wawasili usiku huu

https://i2.wp.com/2.bp.blogspot.com/-WlKkV-x5-jk/ULPT965OTFI/AAAAAAADsaQ/nCc_xh3tX4M/s1600/IMG_8970.jpg

Mwanamuziki toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jean Bedel Mpiana aka JB Mpiana akitoka kwenye geti la kutokea abiria wanaowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere usiku wa kuamkia leo. Pichani JB anaongozwa na Ndanda Kosovo Kichaa mwanamuziki wa siku nyingi nchini kwetu.

Awali Spoti Starehe ilibahatika kuongea na Seguin Mignon na Genta Maccine ambaye ni atalaku baada ya kuunganishwa na Papaa Julie We Stone Ilunga Mbwebwe Presidaa Bana Congolee na Darisalama na kuthibitisha kuwa wako fit kwa ajili ya show hiyo.

 

https://i2.wp.com/2.bp.blogspot.com/-qf6id5Ht-YU/ULPT4pkvjGI/AAAAAAADsaA/I0Jy3iASIiA/s1600/IMG_8978.jpg

Suveree Mukulu Tshituka Papaa Cherie Dela Patrie Bin Adam Le Charismatique Jean Bedel Mukulu Mpiana akiwa na wenyeji wake pamoja na wanamuziki wa Wenge BCBG wakiongozwa kuelekea kupanda gari baada ya kuwasili jijini Dar usiku huu.

 

https://i0.wp.com/3.bp.blogspot.com/-ljFrakjt3gQ/ULPUAZY5TkI/AAAAAAADsaY/81oq8qemlVY/s1600/IMG_8983.jpg

JB Mpiana akiongea na waandishi wa habari kuhusu show yao hapa Tanzaia ambapo Alhamisi wiki hii watakuwa na onyesho jijini Arusha na ijumaa watakuwepo Leaders Club kwenye uzinduzi wa Risasi Kidole ya Mashujaa Band kabla ya kuelekea jijini Mwanza. (Picha zote na Blog ya Jamii)

Advertisements

7 Responses to JB Mpiana na Wenge BCBG wawasili usiku huu

 1. Lebcbgbanaarusha says:

  wadau Arusha ni ukumbi upi na tiketi zinapatikana wapi!!!!Sipati pichaaaaaaaa!!!

 2. papa kasapira nakati ya london says:

  hayawi hayawi sasa yamekua jamani wadau wa dar ticket zinapatikana wapi jamani

 3. Lebcbgbanaarusha says:

  Arusha ni Triple A kiingilio VIP 100,000TSH na 30,000TSH

 4. Anonymous says:

  Living Legend the king of live music of all time

 5. Anonymous says:

  wacha moto uwake merciiii mkubwa Pius kwa taarifa

 6. Bhikolo Ngona says:

  Nashukuru sana bwana Pius kwa kutupa taarifa za mwanamziki huyu mbunifu Afrika. kuna kitu ningependa ufuatilie na kutujuza wapenzi wa muziki wa dansi. kuna style inatangazwa sana duniani ya GANGNAM ambayo ni sawa na dance MPUNDA ya Jb Mpiana. Je, ni kwa nini heshima za utunzi wa style hiyo zimeenda kwa Mkorea na si Mpiana?
  Pia ningependa utuwekee wapenzi tuzipne style zote mbili kwani nimeona vituo vingi vya habari vya kimataifa vikiitangaza gangnam tofauti na ilivyokuwa kwa dance mpunda iliyotangulia.

 7. ciri ciri penyakit sipilis mau sembuh

  JB Mpiana na Wenge BCBG wawasili usiku huu | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: