Breaking News: Sharo Milionea apata ajali mbaya.

image

Sharo Milione na Swaga zake

Habari ambazo zimetufikia sasa zinasema muigizaji mchekeshaji na mwanamuziki Sharo Milionea amepata ajali. Aidha Habari ambazo Spoti na Starehe haijazithibitisha zinasema kuwa
msanii hiyo amefariki dunia.
Kwa mujibu Wa vyanzo vya Habari mjini Muheza Sharo alifariki Mara baada Ya kupaya ajali hiyo Majira Ya jioni Ya leo.
Bado tunazifatilia Habari hizo na tutafahamishana kilichojiri.

Advertisements

11 Responses to Breaking News: Sharo Milionea apata ajali mbaya.

 1. Mabson ally says:

  Hadi xaxa taarifa nilizo zipata nikua msanii sharo milionea amefaliki dunia kwa ajali ya gali iliyotokea mjini muhuheza

 2. jamalkhama says:

  Hizi habari niukweli au uvumi2

 3. Anonymous says:

  habari ni zaukweli au vp?

 4. Anonymous says:

  Habari za kuckitisha sana ila kaz ya MUNGU haina makosa natoa pole kwa ndugu jama marafiki na sisi mashabiki wake.

 5. Anonymous says:

  oooh! Mama mchanqa utamchafua meeen

 6. Erick shoo says:

  Mimi kama mr. ERICK shoo nawapa pole sana familia ya sharo popote pale walipo kwan huu msiba ni msiba wa aina yake kwa Tanzania nzima kwa ujmla.

 7. Anonymous says:

  Sharomilionea apata ajali tanga muheza

 8. laszo says:

  we miss you sharo.

 9. laszo says:

  we remember you.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: