Albamu mpya ya Ferre Gola akimshirikisha Celine Deon na Rick Ross kutoka Desemba.

ferre

Niliwahi kuandika jinsi kizazi cha nne kilivyoamua kuupeleka muziki wa Congo international, Mwanamuziki Ferre Gola baada ya Fally kuimba na Olivia yeyey ametoka na Mwanamuziki Mcanada mwenye asili ya Ufaransa Celine Dion na bingwa mwingine ambaye majuzi aliwakonga nyoyo mashabiki wa Tanzania kwenye tamasha la Fiesta Rick Ross.

Ferre ameipa albamu yake hiyo mpya jina la Boîte Noire ama Black Box itakuwa sokoni December ambapo amesema itakuwa ni zawadi ya Christmass kwa mashabiki wake, hayo yalithibitishwa na Meneja wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Jet Set bwana Vasco Mabiala, Bwana Mabiala pia alisema kuwa albamu hiyo imepewa jina hili kwa vile Black Box ni kisanduku ambacho kinatoa wingu la ni nini kimetokea hasa kwenye ndege zikipata ajali, anaeleza kuwa kwenye box la albamu hiyo yeye ndio atafungua milango endelevu kwenye sokola Ulaya na America kwa kuwashirikisha miamba hao wawili ambao wanakubalika na wana mashabiki sio Marekani tu bali duniani kote.

Ferre amesema kuwa Nyimbo zote ziko tayari, zimeshafanyiwa uchanganyaji na Video ziko kwenye hatua za umaliziaji ili zitoke kwa pamoja. 

11 Responses to Albamu mpya ya Ferre Gola akimshirikisha Celine Deon na Rick Ross kutoka Desemba.

 1. Hadj Le Jbnique says:

  Kama kweli safi sana na atakua ameuvusha muziki wa lingala hatua nane mbele,lets wait ana see

 2. Anonymous says:

  Kwanza mambo vp

 3. Anonymous says:

  siku zote huaga naamini kua katika kizazi kipya congo hakuna anae mfunika Ferre gola

 4. alpha says:

  wow dt is the greatest news 2 d congolese and d entire africa.much luv

 5. papa kasapira nakati ya london says:

  the king of the new generation

 6. Drago nyamba says:

  Ww ninoma naunatambu vizuri kazi yako wajibika mzee

 7. Prince George says:

  Anaitwa Herve Bataringe Gola”FERRE GOLA”a.k.a Jesus De Nuance+Captain La Rhumba Congolais,Papaa SORAYA na MERINA.

 8. Prince George says:

  Sahamani kidogo nimechapia khs watoto wa FERRE GOLA.CAPRISSE NA MERINA ndio wanae,NA SORAYA NI MTOTO WA NDG YAKE THIERRY GOLA,Mercii mo prezdaa Sahamani kidogo nimechapia khs watoto wa FERRE GOLA.CAPRISSE NA MERINA ndio wanae,NA SORAYA NI MTOTO WA NDG YAKE THIERRY GOLA,Mercii mo prezdaa Sahamani kidogo nimechapia khs watoto wa FERRE GOLA.CAPRISSE NA MERINA ndio wanae,NA SORAYA NI MTOTO WA NDG YAKE THIERRY GOLA,Mercii mo prezdaa Sahamani kidogo nimechapia khs watoto wa FERRE GOLA.CAPRISSE NA MERINA ndio wanae,NA SORAYA NI MTOTO WA NDG YAKE THIERRY GOLA,Mercii mo prezdaa nyoso.

 9. Anonymous says:

  Can u please give me a chance to my talent live? help me guy i need support from u

 10. Anonymous says:

  Can u please give me a chance to show my talent live? help me guy i need support from u

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: