Heritier Watanabe Kipenzi anayegeuka shubiri Wenge Musica Maison Mere

Kwa wanaofatilia muziki wa Congo wanamjua huy bwana jinsi alivyokuwa kipenzi cha Werason Ngiama kwa sababu tu ndiye alikuwa animation ya kundi zima, Heritier alikuzwa akakua akatambulishwa kwa mashabiki wakamkubali akawapa walichokitaka akaota mapembe, kwani ndiye alikuwa Chief de Orchestra wa kundi la MAison Merre  na aliaminiwa na Werasson na kuogopwa na waimbaji wenzie.

Kwa sasa hali haiko hivyo kwani tangu kurejea kundini kwa mwanamuziki Japonaise ambaye alikuwa nje ya kundi wamekuwa wakigombea madaraka. Mgogoro wa uongozi ambao washabiki wanauhusisha na matajiri ambao wanauhusiano na hasimu mwingine Koffi Olomide ambaye awali alikuwa rafiki mkubwa wa Werasson na sasa yuko kambi ya Jb Mpiana, habari zinasema kuwa Watanabe anachochewa na watu wa nje asikubali kuwa chini ya Japonaise  ambaye tangu arejee kwenye bendi baada ya kuwa nje kwa zaidi ya miaka kumi amekuwa gumzo kila bendi inapopiga.

Advertisements

6 Responses to Heritier Watanabe Kipenzi anayegeuka shubiri Wenge Musica Maison Mere

 1. Anonymous says:

  iko ajabu kwa mwana mziki uyu kutoka lakini ina semekana aja toka

 2. Anonymous says:

  iko ajabu kwa mwana mziki uyu kutoka lakini ina semekana aja toka soki ambimi asali mabe mto akolisiye boye obima papa nayo mwana yandako abimaka te ata papa naye abeti bana mopaya ako bima mwana yandako akoki kabima te.

 3. king says:

  iko ajabu kwa mwana mziki uyu kutoka lakini ina semekana aja toka soki ambimi asali mabe mto akolisiye boye obima papa nayo mwana yandako abimaka te ata papa naye abeti bana mopaya ako bima mwana yandako akoki kabima te.

 4. Thanks for a marvelous posting! I quite enjoyed reading it, you may be a great author.I will be sure to bookmark your blog and definitely will come back from now on. I want to encourage you to continue your great job, have a nice evening!

 5. After I imagined about issues like: why this kind of details is without spending a dime here? Whenever you publish a guide then no less than on selling a guide you will get a percentage, because. Thank you and very good luck on informing folks much more about it.

 6. At this time it looks like BlogEngine is the top blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: