wanahitaji kuendelezwa

Muziki ni kipaji ingawa wapo wanaokwenda kusomea lakini kipaji kikiongezewa elimu kiukweli kinatoka kitu cha maana sana. Kuna tangazo moja linasema Afrika ina vipaji lukuki ambavyo havikupata bahati ya kuvumbuliwa mpaka vikafa.

Ukiangalia picha hii utaona hawa watoto wanaanza kuzoea stage performance wakiwa na umri mdogo jambo ambalo wanamuziki wetu wanalishindwa hivi sasa. Kuimba na kupiga chombo hasa gitaa ambalo linahitaji akili nyingi ni kazi kweli kweli jaribu kufikiria hawa watoto wangeendelezwa.

Advertisements

One Response to wanahitaji kuendelezwa

  1. Kingotolo Mboyo says:

    Yes, hiki ndio kipaji sio vitu vya bongo fleva…unakopi na kuweka sauti etu unajiita mwana muziki. Hii ni zarau sana, huwezi kujiita mwanamuziki wakati hujui chochote kuhusu muziki.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: