Kocha aliyetimuliwa Yanga awa kocha wa Timu ya Taifa Yemen

Siku chache baada ya kutimuliwa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet amepata ulaji wa kuifundisha timu ya Taifa ya Yemen. Sainfiet alieifundisha Yanga kwa siku 80 atakumbukwa kwa rekodi yake ya kushinda michezo 14 na kupoteza 2 tu huku akiwaachia taji la Afrika Mashariki na Kati katika Kombe la Kagame. Bila shaka mashabiki wote wa Yanga watamtakia kila la heri katika kazi yake mpya.

Kwa mujibu wa Mtandao wa Super Sport kocha huyo ataanza kibarua chake jumamosi na tarehe 16 atakiongoza kikosi hicho kucheza mchezo wa kirafiki na Lebanon.

“ Ni kweli mimi ndiye kocha mpya wa Timu ya Yemen nimefurahi na kuhamasika kwa kazi hii mpya inaonyesha ni jinsi gani nina nafasi” alisema Saintfiet.

katika mchezo wa karibuni Yemen imepoteza goli 4-0 dhidi ya Morocco.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: