kituliza maumivu cha koffi..

Tuliza maumivu na hii  ASPIRINE ya Papaa na Sean James,Papaa na Delpirlo a.k.a.Papaa na Didistone Mopao Mokonzi Koffi Olomide ukimezeshwa kituliza maumivu hicho na Mamaa Cindy Le Coer ambae ni ulezi wake mzee mwenyewe,hii ilikua Live ndani ya Paris……Wakati inatoka hii Aspirine hakukaa sana ndio kundi lake likavunjika na kugawanyika, hakuna aliyetegemea kuwa anaweza kuja kusimama kama alivyo leo kwani wale wakongwe wote ndio walioondoka na kuanzia Quartier Latin Academia ambayo haikudumu sana na Mopao mpaka leo anakimbiza, ye mwenyewe anasema Quartier Latin ni kama Dream Team kila mara iko juu na wacezaji imara.

Advertisements

5 Responses to kituliza maumivu cha koffi..

 1. Anonymous says:

  Stori nzuri but umetia chumvi nyingi zaidi mpaka ikataka kuharibika,ql academia haikuzaliwa baada ya concert hii,ukweli ni kwamba hii concert ikipigwa tayari ql academia ilikua ilishazaliwa na kupaganyika na wengine kurudi kwa koffi na kuondoka tena mfano bouro mpela na hata suzuki ambae amedumu,na kipindi wanajiengua kwa koffi na kuanzisha ql yao cindy hata ungo alikua haja

 2. Anonymous says:

  Stori nzuri but umetia chumvi nyingi zaidi mpaka ikataka kuharibika,ql academia haikuzaliwa baada ya concert hii,ukweli ni kwamba hii concert ikipigwa tayari ql academia ilikua ilishazaliwa na kupaganyika na wengine kurudi kwa koffi na kuondoka tena mfano bouro mpela na hata suzuki ambae amedumu,na kipindi wanajiengua kwa koffi na kuanzisha ql yao cindy hata ungo alikua hajavunja

 3. Grand Tata Okelo says:

  Kama nimemuelewa muandishi vizuri alimaanisha Huu Wimbo Aspirine Original si baada ya hii SHow ….. “….Wakati inatoka hii Aspirine hakukaa sana ndio kundi lake likavunjika…”

  Na ni kweli ilivunjika baada ya hii Albamu ambayo wimbo huu ulikuwemo

 4. Its my fantastic pleasure to visit your blog and also to get pleasure from your fantastic posts here. I like it a good deal. I can come to feel that you just paid considerably awareness for anyone articles or blog posts, as all of them make sense and therefore are extremely useful.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: