Siku mchezaji wa zamani wa yanga Nonda Shabani "papii" alipozindua Hotel yake katika jiji la kinshasa.

Siku mchezaji wa zamani wa yanga Nonda Shabani “papii” alipozindua Hotel yake katika jiji la kinshasa.

Uzinduzi huo uliombatana na ngoma mbalimbali za kiutamaduni ulihudhuriwa pia na watu wengi maartufu congo akiwemo mwanamuziki nguli Adolphe Dominguez a.k.a.Tata Mobitch na wengine wengi.Pata video hii.nadhani huu ni mfano wa kuigwa kwa wanamichezo wetu wanapopata mafanikio kukumbuka kuwekeza nyumbani

Advertisements

5 Responses to Siku mchezaji wa zamani wa yanga Nonda Shabani "papii" alipozindua Hotel yake katika jiji la kinshasa.

 1. Anonymous says:

  nimemuona pia mzee simaro lutumba hapo kwenye hiyo hafla

 2. AMIRI says:

  WACHEZAJI WAIGE MFANO WAKE

 3. Anonymous says:

  ONGERA SANA

 4. Anonymous says:

  Congratulation shaban nonda u make good example for players in africa and all world

 5. Anonymous says:

  NAKUTAKIA KIRA RH

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: