Del Pirlo ya Koffi Olomide – Mapenzi ya kweli toka kwa Baba kwenda kwa wanawe.

Alianna Koffi olomide

Aliana Koffi Olomide, Mama wa watoto.

Del Pirlo Olomide

Del Pirlo Olomide

koffi na wanawe mjengoni palais de monte Fleury

Koffi na Wanawe

Kuna kazi ambazo ni ngumu kwa kweli hasa hii ya Muziki unatumia muda mwingi kufikiria ni jinsi gani utawafurahisha na kuendelea kuongeza mashabiki wako, ku win soko, kutunga nyimbo, pia kumbuka hii ni kazi ambayo muda mwingi wa usiku ndio unaingia kazini muda wa mchana wanamuziki wengi wanautumia kwa mazoezi na hata kutunga nyimbo zao, wengi wao wanakuwa na muda mdogo sana kukaa na watoto.

Hilo ni moja ya vitu ambavyo mwenyewe Koffi Olomide anadai linamkosesha kuonyesha mapenzi yake kwa wanawe, ili kuwaonyesha anachokifanya aliamua kuwatungia Wimbo huu ambao alio u-dedicate kwao.

Wimbo Delpirlo ambao Le Quadra Koraman Koffi Olomide Papaa na Didistone, Papaa Delpirlo Morinho, Papa na Sean James aliutunga maalum kuwa dedicate wanae hao aliowazaa na mkewe Alianna.

7 Responses to Del Pirlo ya Koffi Olomide – Mapenzi ya kweli toka kwa Baba kwenda kwa wanawe.

 1. Hadj le Jbnique says:

  Kwa kuogezea tu Del pirlo huyo pichani ndio mwanae kipenzi ambapo mapenzi yake kwake yamezidi mpaka kufikia kujenga 5 star hotel ndani ya kinshasa na kuipa jina VILLA DEL PIRLO ambayo ilizinduliwa pia siku aliozaliwa Huyo DEL PIRLO OLOMIDE

  • Hemp Oil says:

   You really did sparked my curiosity. It requires some bold action on your part. Is there new news on this? Thanks for writing this great write up. Helpful website, exactly what I needed.

 2. mungu aku zidishie maisha mze koffi

 3. godshall otullo says:

  Nampenda sana koffi kwa sababu anaheshimu kazi yake pamoja familia yake .ilove him

 4. Prince George Jr. says:

  RESPECT….LE GRAND MOPAO MOKONZI…a.k.a Jeune….Pato

 5. Thanks for the marvelous posting! I quite enjoyed reading it, you may be a great author.I will always bookmark your blog and definitely will come back from now on. I want to encourage that you continue your great work, have a nice afternoon!

 6. I simply had to thank you so much again. I do not know the things that I would have tried without the type of pointers discussed by you over this theme. It previously was a very scary crisis in my view, however , noticing the very skilled technique you managed that forced me to jump over contentment. I am just happier for this support and thus expect you know what a great job you’re providing instructing people by way of your blog post. Probably you haven’t got to know any of us.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: