Celeo Scram tena

Pengo aliloliacha Wenge Musica Maison Merre Celeo Scram limetufanya kuwajua watu kama Heritier Watanabe, ingawa hawezi kuyafanya aliyoyoyafanya Wata lakini kwa kiasi kikubwa naye ameng’ara.

Celeo Scram kwa hapa nyumbani sio jina maarufu kama nilivyowahi kusema radio Dj au watangazaji wa hapa sio wote wanauelewa vyema muziki huu na hukimbilia kupiga nyimbo kutoka kwa wanamuziki ama wanaowajua tu ama zile wanazozijua pekee, Kipindi pekee ambacho kiliwahi kuinua muziki huu wa Congo ni Afrika Bambataa ya Clouds FM na Kipindi kama sikosei ni Kwetu Kabisa cha Times FM kilikuwa kikirushwa na Sister V enzi hizo, baadaye Times kikafufuka tena huku Rose Chitalla naye akikiongoza kwa sasa sina hakika kama bado kipo.

Msikilize Celeo Scram kijana ambaye alisukwa na  kuiva ndani ya Wenge Musica Maison Merre ya Werasson wakiwa ni waanzilishi wa kwanza.

Advertisements

7 Responses to Celeo Scram tena

 1. Anonymous says:

  Fununu zinaashiria kwamba CS anapanga kurudi WMMM

 2. Anonymous says:

  OK ITAKUA NI HABARI NJEMA

 3. Anonymous says:

  cs ni shughuli nyingine,ungekuwa mwanza usingetoa hayo malalamiko ,metro kuna kipindi kinapiga na kutoa habari mpya sana za kikongo j3 hadi ijumaa saa 12jioni hadi 3usiku.

 4. Jembe says:

  HII SITE NAONA HAINA JIPYA SASA IMEBAKI KURUDIA RUDIA POST ZA MIEZI MICHACHE ILIYOPITA

 5. The problems which u have discussed in this blogs is very much common nowadays . Thank You so much for giving me the tips

 6. I’ve learn a few excellent stuff here. Definitely great bookmarking for revisiting. I wonder how much effort you place to create this type of great informative website.

 7. a lot of good data and inspiration, both of which I want, due to present this kind of a handy information and facts right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: