Buriani mamaa Monica Celeste, BCBG itakukumbuka daima.

Jb Mpiana,Wenge Bcbg,Koffi Olomide,Werrason,Didier Masela,Alain Makaba,Adolphe Dominguez na bana Kin Kibao walivyomsindikiza Monica Celeste aliyekua mcheza show wa bcbg katika safari yake ya mwisho,ama hakika ilikua ni siku ya huzuni sana kwa familia yote ya wanamuziki wa Congo.

3 Responses to Buriani mamaa Monica Celeste, BCBG itakukumbuka daima.

  1. peter says:

    Nikimkumbuka huyu dada inaniuma sana japo katuachia wanafunzi wanaofanya vizuri mfano mkubwa ni Mwanansuka!!!

  2. namkumbuka ktk bcbg zenith concert. Alikua noma

  3. Anonymous says:

    Da inasikitisha, alikuwa anaumwa au?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: