Angalia Werasson alivyojaza watu FIKIN 2012 LIVE!!

Kiukweli WMMM kwenye Live shows wako fresh sana, huwa nawakubali sana na hiki kiwanja cha Fikin ni kiwanja chao cha kujidai. utakubaliana na mimi kwa kuangalia jinsi jamaa alivyojaza watu. inasemwa kuwa mashabiki wengi wa Werasson walifika kwa kuwa ndio siku alitambulisha nyimbo zilizo kwenye albamu yake mpya ambayo mashabiki wanaisubiria kwa hamu, albamu ambayo mpaka sasa haijulikani itatoka lini kutokana na kigugumizi cha mara kwa mara.

Advertisements

2 Responses to Angalia Werasson alivyojaza watu FIKIN 2012 LIVE!!

  1. Patrina Lah says:

    When I considered about matters like: why this kind of information is free of charge right here? If you compose a book then at the least on offering a book you get a percentage, simply because. Thank you and superior luck on informing persons much more about this.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: