Kwa wapenzi na washabiki wa Pool tuu, angalia mtoto anavyopiga kete huyu

Kuna jamaa yangu anaitwa Robert William Mwafrika aka Mtu wa Mbeya au Mwaisa, huyu jamaa aliwahi kuwa bingwa wa Pool kwenye mashindano kadhaa ila nilikwenda naye Mlimba huko kijijini na alikutana na kijana mdogo akamtoa 5-0.

Angalia mtoto huyu mdogo wa miaka mitano anavyopiga kete kisha nipe maoni yako.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: