Usaili wa Maisha Plus 2012 waendelea

 

Heka heka za Maisha Plus

Heka heka za Maisha Plus

Huko njiani kuna mambo

Huko njiani kuna mambo

 

Kaka Bonda akimhoji mshiriki

Kaka Bonda akimhoji mshiriki

 

Mama Shujaa wa Chakula akionyesha ushujaa wa chakula

Mama Shujaa wa Chakula akionyesha ushujaa wa chakula

 

Usaili wa Maisha Plus umeendelea leo (Septemba 4) mkoani Mwanza; baada ya hapa timu nzima itaelekea Morogoro katika wilaya ya Mvomero na siku inayofuata itaibukia Igula, Mkoani Iringa. “Tukitoka Iringa tunahamia Sumbawanga huko Kantalamba then tutarudi Mbeya, baadaye tutaelekea Kilwa kisha Masasi na Zanzibar itafuatia.

Dar es Salaam itakuwa ya mwisho ambayo usaili wake utafanyika Septemba 22 na 23,” anasema Masoud Kipanya. Fomu za kushiriki shindano hili kwa Dar es Salaam zinapatikana katika Duka la KP lililopo Millenium Towers Kijitonyama. Kama unahitaji fomu
piga namba 0717104303 uelekezwe.

Advertisements

2 Responses to Usaili wa Maisha Plus 2012 waendelea

  1. Leberkrebs Behandlung…

    […]Usaili wa Maisha Plus 2012 waendelea « Spoti na Starehe[…]…

  2. Debora Hein says:

    lots of fantastic details and inspiration, the two of which I will need, thanks to offer you this kind of a valuable information and facts right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: