Fine Fine Love ya Jay Martin

Alipokuja nchini J Martin aliulizwa swalina muandishi mmoja kuhusu Muziki wa Tanzania akasema haujui, hili ni jibu la ukweli ambalo wengi wa wanamuziki wa nje wakija wanasema hivyo ingawa tunajivunia na muziki wetu na kuuita wa kizazi kipya jambo ambalo wachambuzi wa muziki wanasema bado muziki huu hauna ladha ya kipekee kiasi uitwe Bongo Flava. Bado kumekuwa na malalamiko ya ku copy beat kutoka miziki ya wenzetu. Kuna vitu vingi ambavyo vinasemwa pia vinachangia kuufanya muziki wetu usivuke mipaka wengine wakiitaja lugha, Lakini mbona Cabo Snoopy amefanikiwa na anaimba lugha ambayo wengi wetu hatuijui? Mbona wanamuziki wa Congo wameweza na lugha yao hatuijui?

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: