DIAMOND APATA MUALIKO WA DINNER NA MISSY TEMEKE WASHINGTON DC

Miss Temeke (Khamisa) akishow love na Mwanamuziki Diamond baada ya kumualika kwa Dinner.

Seating arrangement kabla ya maakuli

Miss Temeke na Diamond

Miss Temeke Khamisa anayeishi huko Washington na ndiye mmoja wa wenyeji wake Diamond, Miss Temeke aliwahi kuwa Mshindi wa shindano la Miss Temeke miaka ya nyuma na kwa sasa anaishi na kufanya shughuli zake USA.

Kundi zima la mwana muziki wa kizazi kimpya Diamomd wakipata Dinner ya pamoja na Missy Tameke. baada ya show yao iliofanyika Sept1,2012

Missy Tameke pamoja, Salma Jay Jay pamoja na  Diamomd, wakipata picha ya pamoja kwenye ddinner ya pamoja iliofanyika jana Usiku wa Sept 3. 2012.

Mwana muziki wa kizazi kimpya Diamomd akipata picha ya pamoja na Kundi Zima la Mabanati wa Maryland. US

PHOTO CREDITS:BY ABOU SHATRY CHEIF WA SWAHILIVILLA

Advertisements

2 Responses to DIAMOND APATA MUALIKO WA DINNER NA MISSY TEMEKE WASHINGTON DC

  1. Anonymous says:

    Safi sana keep it up

  2. Admiring the hard work you put into your blog and detailed information you offer. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same out of date rehashed material. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: