Birthday ya Papaa Cherie Del Patria JB Mpiana LIVE

Hii ni live concert iliyofanyika siku ya birthday ya Papaa Sherii Jb Mpiana June 2 mwaka huu 2012,humo mtawaona watu wa JB Mpiana wa ukweli kama mtu mmoja anaitwa Patric Bolonya (Bologna) ambao ataonyesha jeuri yake ya pesa kwa Jb on stage…all in all ilikua ni siku nzuri sana kwa Jb na wana Bcbg wote duniani, Angalia ma Pendejee waukweli wanavyo tumia Dolali.

Katika Video hii JB Mpiana anawaburudisha mamia ya mashabiki wake kwa Kibao Omba, hii ni Thumba ambayo binafsi naipenda sana. Katika Albamu ya Soyons Serieux kuna wimbo unaitwa Bolognia na JB alimuimbia huyu bwana Patrick Bolognia na hapa utaona wakati anauimba jamaa ndio akapanda kumtunza.

Advertisements

3 Responses to Birthday ya Papaa Cherie Del Patria JB Mpiana LIVE

  1. Anonymous says:

    mbona mke wa jb mpiana hakuwepo?

  2. Anonymous says:

    alikuwepo sema hajaonekana

  3. steven nshiga says:

    papaa cherii aza kotroooko

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: