Seguin Mignon Wa Wenge BCBG

Alain Prince Makaba 188 Memoir et Mignon Garcon Seguin

Seguin Mignon(kulia) mpiga drums wa bcbg wa sasa enzi hizo akiwa na Alain Prince Makaba”internet”, Ukisikiliza Omba Remix ile Live kuna mahala JB Mpiana alilalamika sana na kuanza kuwaita wanamuziki wake akiwataja sana Afande, Caludji na kisha kuwataja wengine alianza na Seguen kwa wanaosikiliza vizuri Seguen aliliza sana Drumz JB alipomuita huyu ndiye aliyechukua mikoba ya Titina Alcapolne na kwa kweli kazi yake inasikika.

Msikilize JB hapo chini

3 Responses to Seguin Mignon Wa Wenge BCBG

  1. Hadj le Jbnique says:

    MWENYEWE JB HUWA ANAMUITA MWANA YA WENGEE KUTOKANA NA SEGUIN KUWA NI KINDA LILILOLELEWA NA KUKULIA NDANI YA WENGE CHINI WA MANGULI WA MUZIKI WALIOKUWA WAMESHEHENI HUMO NDANI LAKINI DOGO ALIKUA MVUMILIVU NA KUENDELEA KUDUMU KUNDINI HUMO MPAKA WAZEE WALIPOONA AMEKOMAA NA KUANZA KUMUAMINI AKIANZA KWA KUMSAIDIA ALI MBONDA KUPIGA TUMBA HUKU KIDOGO KIDOGO KWA USHAURI WA JB AKIFUNDISHWA DRUMS NA TITINAA

  2. Wonderful info, exceptional and useful layout, as share excellent things with good ideas and ideas.

  3. Currently it sounds like Movable Type is the preferred blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: