GADNER G. HABASH AHAMIA RADIO TIMES 100.5 FM, KUIBUKA NA KIPINDI CHA “MASKANI”

 

 

Mtangazaji wa Radio Times 100.5 Scholastica Mazula akizungumza na waandishi wa habari kwenye magahawa wa City Sports Lounge Posta jijini Dar es salaam wakato alipomtambulisha rasmi Kapten Gadner Habash ambaye amejiunga na kituo hicho cha redio hiyo. Hivi karibuni atakuja na kipindi kipya kinachokwenda kwa jina la “Maskani” kitakachozungumzia mambo mbalimbali katika jamii, katika picha kushoto ni Gadner G. Habash mwenyewe na kulia ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Cliford Ndimbo. (Picha kwa hisani ya Full Shangwe)

Advertisements

One Response to GADNER G. HABASH AHAMIA RADIO TIMES 100.5 FM, KUIBUKA NA KIPINDI CHA “MASKANI”

  1. sdf says:

    You really make it appear so easy along with your presentation however I find this topic
    to be really one thing which I believe I might by no
    means understand. It kind of feels too complex and
    extremely extensive for me. I am looking ahead in your next post, I will attempt to get the grasp of it!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: