AROBAINI YA MAREHEMU RAYMOND MADINDA MANG’ATI

madinda

Familia ya Mzee Simon Mang’ati pamoja na familia ya Marehemu Raymond Madinda Mang’ati (Mrs. Nkinde Madinda Mang’ati na , Raymond Junior na Leonard Junior Mang’ati) Wanapenda kuwakaribisha kwenye mkesha wa AROBAINI ya Marehemu Raymond Madinda Leonard Mang’ati utakaofanyika kuanzia Ijumaa tarehe 31/08/2012 kuamkia Jumamosi tarehe 1/09/2012 nyumbani kwa wazazi wa marehemu Mbweni-Masaiti nyumba No. 47.

Kwa Maelekezo Zaidi Piga Simu: 0655 597 955

MWENYEZI UNGU AWABARIKI SANA.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIDIWE

“MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU RAYMOND LEONALD MADINDA MANG’ATI MAHALA PEMA PEPONI AMEN.

KARIBUNI SANA

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: