JOSE MOURINHO: KOCHA WA KWANZA KUCHUKUA MAKOMBE YA LIGI NA SUPERCUP KWENYE NCHI NNE ZA JUU KISOKA

 

Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho ameendelea kuvunja rekodi mbalimbali katika ulimwengu wa soka, baada ya kuwa ndio kocha pekee aliyechukuwa ubingwa ligi kuu za nchi nne tofauti kubwa barani ulaya na vilabu vya Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid.

Usiku wa kumakia leo Jose Mourinho alikiongoza kikosi chake cha Real Madrid kuwafunga mahasimu wao wakubwa FC Barcelona bao 2-1 kwenye mchezo wa pili wa kogembea kombe la Supercup kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu. Kwa matokeo hayo timu hizo zikafunga kwa jumla ya mabao 4-4, lakini kutoka na Madrid kuwa na idadi kubwa ya magoli ya ugenini wakatwaa ubingwa huo wa tatu tangu Mourinho afike Bernebeu.

3 Responses to JOSE MOURINHO: KOCHA WA KWANZA KUCHUKUA MAKOMBE YA LIGI NA SUPERCUP KWENYE NCHI NNE ZA JUU KISOKA

  1. Said Kambi says:

    kwa kweli mi namkubali sana Mourinho si kwa sababu ni mshabiki mkubwa wa REAL MADRID hapana bali Ufundishaji ni mzuri sana na uko makini kwa wachezaji wake

  2. At this time it seems like Movable Type is the top blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you’re using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: