Maisha Plus 2012: Maandalizi Yamepamba moto

Masud Kipanya akiwa na Kaka Bonda wakipata mlo baada ya kazi ngumu ya ujenzi wa kijiji. Kama unavyoona huko hamna mambo yetu kabisa Masud kakata Kopo ili anywee maji yaani nakumbuka kijijini kwetu Mlimba, Ifakara Morogoro hahahahaha.

Maandalizi ya kijiji cha MAisha Plus huko Kigamboni yanapamba moto huku mchakato ukiwa umeshaanza, Arusha/Moshi ikiwa imefungua pazia na leo wapo huko Lushoto na mchakato unaendelea ambapo Kijiji kitafunguliwa mwezi wa Kumi. Maisha Plus msimu huu imeunganishwa na shindano la Mama Shujaa wa Chakula ambalo linafadhiliwa na Oxfarm na NMB kwa pamoja wanaifanikisha Maisha Plus 2012.

2 Responses to Maisha Plus 2012: Maandalizi Yamepamba moto

  1. JUNTAZOLA says:

    MASOUD DA UMEANZA KUONYSHA BILA YA KUTUALIFU WA TAZAMAJI WATU WENGI HATUJA ONA LIIVYO ANZA SO KAMA RUDIENI TENA PALE TBC TUNATAKAKUONA ILIVYO ANZA MWANZO KABISA THEN HATUJI MUDA WA KUANZA KMA VP RUDIENI PLEASE MASOUD WATU TUNATAKA KUJIFUNZAAA BAANA ASANTE

  2. Jestine Kelm says:

    I definitely love every single minor bit of it and I have you bookmarked to check out out new stuff of your site a need to read blog!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: