Linex na Wenzake wapata ajali wakienda Kigoma

Linex

Mwanamuziki Linex akiwa na wanamuziki wenzie kama Suma Lee na Besta wamepata ajali wakiwa njiani kwenda Kigoma. akiongea na XXL ya Clouds FM, Linex amesema kuwa wamepata ajali hiyo wakiwa eneo linaitwa Luganza Njia panda ya kwenda Burundi, Bukoba na Kigoma Suma Lee alikwepesha gari ikagonga mti, “…Besta na Suma Lee ndio wamepata maumivu kidogo na hapa tunamsubiri Trafiki aje maana anatokea mbali kidogo kama kilometer kumi na tano…” alisema Linex. Pia Linex aliongeza kuwa basi halikusimama liliondoka ingawa dereva aliona kuwa amesababisha ajali.

Akiongelea jinsi ajali ilivyotokea Linex amesema kuwa ilikuwa kwenye kona ghafla wakaliona basi likija upande wao na Linex aliamua kukwepa na ndipo gari ikaingia kwenye mtaro na kugonga mti, “bahati gari halikuwa kwenye mwendo mkali” alisema Linex.

Spoti na Starehe inawatakia wapone haraka kwa wale waliopata maumivu.

Advertisements

2 Responses to Linex na Wenzake wapata ajali wakienda Kigoma

  1. BARU BARU says:

    POLE SANA LINEX

  2. I am hoping you write once more very soon! I must say, I really like what you’ve done to your website.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: