Koffi Olomide aomba msamaha kwa Kumpiga Producer wake.

image

Pichani Koffi akiingia Mahakamani huko Gombe.

Mwanamuziki Koffi Olomide ameomba radhi kwa kitendo alichokifanya cha kumpiga Producer wake Diego Musica na kupelekea kupewa adhabu ya miezi mitatu jela.

Koffi amesema hayo baada ya kunusurika kula kifungo cha miezi mitatu na kulipa faini kwa kosa la kudhuru mwili alilokuwa akishtakiwa nalo. “ninaomba radhi kwa wapenzi na washabiki wangu, kuna wakati inafika huwezi kuzuia hasira na kuja kujuta baadaye…” ilisema sehemu ya taarifa ya Koffi. Koffi alishtakiwa na kukamatwa na kuwekwa mahabusu huko Gombe baada ya kutokea sintofahamu kati yake yeye na Producer wake huyo ambaye nasemwa kuwa Koffi alimnasa kibao na kumfanyia fujo sana huku kila mtu akisema lake kuhusiana na ugomvi huo ambapo watu wa karibu wanasema ulitokana na deni ambalo Diego alikuwa akidaiwa na Koffi na kipindi cha karibuni alikuwa akijibu jeuri.

Inasemwa kuwa Diego aliamua kufuta shauri hilo baada ya kushauriana na wadau wa burudani kwani yeye na Koffi licha ya ukaribu wa kikazi pia wana uswahiba lakini maofisa wa Mahakama walikataa na kusema kuwa Koffi bado ana shtaka jingine la kuharibu mali ikiwa ni baadhi ya vifaa vya hotel ilikotokea fujo (Mlango). Wajuvi wanasema kuwa kosa hilo linaweza kuingeza adhabu na kufikia Miaka mitano. Akiongelea msamaha wa Koffi Waziri anayeshughulika Mawasiliano Habari na Uraia Mheshimiwa Lambert Mende alisema kuwa Koffi anatakiwa kuomba msamaha kwa wananchi sio Serikali na hivyo kupelekea utenguzi wa hukumu hiyo kuwa tete.

Koffi amesema kuwa atawazawadia mashabiki wake ambao anahisi amewaudhi mno kwa kitendo hicho kwa kuwatolea single hivi karibuni.

8 Responses to Koffi Olomide aomba msamaha kwa Kumpiga Producer wake.

  1. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d definitely donate to this excellent blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will share this blog with my Facebook group. Chat soon!

  2. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d definitely donate to this excellent blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will share this blog with my Facebook group. Chat soon!

  3. Fairly specified he will have a fantastic study. Thank you for sharing!

  4. I think this really is an informative post and it can be knowledgeable and quite useful. I would prefer to thank you for the efforts you’ve got manufactured in creating this article.

  5. Good work, I was doing a google search and your site came up for short sales in Casselberry, FL but anyway, I have enjoyed reading it, keep it up!

  6. Exec Leads says:

    My partner and I stumbled over here from a different website and thought I might check things out. I like what I see so now i’m following you. Look forward to looking over your web page again.

  7. We absolutely love your blog and find many of your post’s to be precisely what I’m looking for. Do you offer guest writers to write content to suit your needs? I wouldn’t mind publishing a post or elaborating on many of the subjects you write related to here. Again, awesome web site!

  8. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d definitely donate to this excellent blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will share this blog with my Facebook group. Chat soon!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: