Kalala Junior arejea na Kutambulishwa rasmi Twanga Pepeta

Kalala Jr akiwa na wanamuziki wa Twanga baada ya kutambulishwa.

Kalala Junior akionyesha ufundi mara baada ya kutambulishwa.

BAADA ya fununu za chinichini kutawala, hatimaye uongozi wa The African Stars ‘Twanga Pepeta’ umemtangaza rasmi mwanamuziki, Kalala Junior kuwa memba wa bendi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mango Gardeni leo, msemaji wa bendi hiyo, Muddy Pizzairo, amesema wameamua kumrudisha rasmi kundini baada ya kuihama Twanga kwa muda na kwenda -bendi ya Mapacha Watatu.

Hayo yamethibitishwa na Ukurasa wa Facebook wa bendi ya Twanga Pepeta leo.

One Response to Kalala Junior arejea na Kutambulishwa rasmi Twanga Pepeta

  1. Its my good pleasure to go to your website and to take pleasure in your wonderful posts right here. I like it a great deal. I can feel that you just paid a lot focus for all those posts, as all of them make sense and are incredibly beneficial.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: