Mzimu wa Samata bado wamkaba SAMAGOAL Samata

Aly SAMATTA, terreur des Egyptiens

Ama kwa hakika Wamisri hawatomsahau Mbwana Ally Samata kwa jinsi alivyowafanya kila walipokutana na timu yake, Samata amabaye anachezea Timu ya TP Mazembe alizifumania Nyavu za Wa Misri mara tatu mara moja TP Mazembe walipocheza na Al Ahly na Mara mbili walizokutana na Zamalek akiwa amepachika bao moja moja kwa kila mechi.

Kwa mujibu wa Mtandao wa CAF na Mtandao wa TP Mazembe Samata ambaye wao wanamuita Ally Samata wamempachika jina wanamuita SAMAGOAL kwa jinsi anavyozifumania nyavu. Samata alifunga magoli yote kwa kichwa na yanafanana, kijana huyu mwenye miaka 20 bado ni mdogo na anaweza kufika mbali ilisema sehemu ya habari kwenye mtandao wa CAF.

Goli la kwanza lilikuwa Cairo Al Ahly walipocheza na Mazembe na Samata kusawazisha baada ya kuruka juu na kuupiga kichwa na kusawazisha goli hilo.

Goli la Pili lilikuwa Lubumbashi wakati uwanja ulipolipuka kwa mayowe wakati SAMAGOAL alipounganisha kick ya faulo iliyopigwa na Kepteni Mputu.

Mashabiki wa Al Ahly hawakuamini pale waliponyamazishwa na goli la Samata. Kwa sasa bado Samata anagonga vichwa vya habari na story yake iko juu kwenye website ya MAzembe, kama unaelewa Kifaransa gonga hapa.

5 Responses to Mzimu wa Samata bado wamkaba SAMAGOAL Samata

 1. Anonymous says:

  Tuwakilishe Tanzania mungu akubaliki

 2. Anonymous says:

  kazana kaka ufike mbali

 3. Anonymous says:

  Da Kuku Bali Sana Kaka Una Tisha

 4. Anonymous says:

  Kaza Blolo Utacheza Ulaya

 5. You have a number of great facts there. That is a very good tip especially to those fresh to the blogosphere. You really cleared this up for me.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: