Parking Ya Ba Baba ya Koffi Olomide, Wimbo usioisha ladha.

Kumpenda Koffi ni kama shabiki wa Mpira ambaye automatically anaishabikia Brazil basi ndio ilivyo kwa Koffi Olomide mi kwangu he is my all time favorites. Hii ilikuwa zaidi ya miaka kumi na mitano iliyopita lakini hebu sikiliza jinsi mzee mzima alivyokuwa akilalamika humu, Wataalamu wa muziki wa Congo wanasema jamaa anauwezo mkubwa wa kutengeneza team ambayo inaweza kutisha kwa anguko alilolipata enzi za akina Suzuki hasa walipovuma na Albamu kama Loi, Altimatum, na baadaye kuvunjika na wao wakaanzisha kundi la Quartier Latin Academia lakini hawakuweza kuhimili mtiti wa soko, jamaa namkubali sana, nakutakia jumatatu njema mdau.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: