Rage ajivua ujumbe wa kamati kwa madai kuwa Simba wanahujumiwa!

August 12, 2012

Mwenyekiti wa Simba,Ismail Aden Rage,akizungumza na waandishi wa Habari Bungeni Dodoma jana,akieleza kujivua nafasi yake ya ujumbe wa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania(TFF),kutokana na madai ya kutotendewa haki kwa klabu yake na shirikisho. Rage jana alisikika akimlalamikia mtoto wa Kigogo ambaye anadai anaihujumu Simba na ndiye aliyeshinikiza na kusimamia kupokwa Simba tonge mdomoni, kwa mujibu wa maelezo ya Rage mtoto pekee wa Kigogo ndani ya Klabu ya Yanga mwenye influence ni ….. aaaah mtaje wewe bwana hahahahahhahaa Jumapili njema wadau…!!!

Advertisements

%d bloggers like this: