Vurugu za Cindy wa Koffi Olomide

Kuna wanamuziki ambao wana portion yao ya mashabiki kwenye ulimwengu huu wa Muziki wengine wamekuwa wakipunguza mashabiki lakini Koffi Olomide ni mmoja wa wanamuziki wachache tangu aanze kila uchao amekuwa akiongeza mashabiki, Koffi kwa sasa takribani miaka ya hivi karibuni amemsogeza muimbaji wake wa Kike ambaye ni mpenzi wake pia Cindy Olomide na kumpa nafasi katika nyimbo zake ambazo ameziongezea ladha fulani.

Tizama vurugu za Cindy wa Koffi Olomide pamoja nae Equalizer wakimfagilia mzee mzima koffi Olomide papaa na Didistone, Papa na Sean James Quadra Koraman, full ma talent ya ukweli…..muziki wa studio live lakini unachezeka.

Advertisements

3 Responses to Vurugu za Cindy wa Koffi Olomide

  1. Happyness says:

    Nawapenda sana cindy na koffie.Yani cindy akiimba najisikia raha sana yanii natamani kama wangekua wanakuja kila wikiend

  2. Cherry Frick says:

    Nice post. I was checking continuously this blog and I’m impressed! Very helpful information specifically the closing section 🙂 I deal with such information a lot. I was seeking this certain information for a very lengthy time. Thanks and good luck.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: