Djiki Djiki ya Wenge BCBG

Kitambo nimekuwa napiga kelele kwa wenye RAdio ambayo vijana wengi huisikiliza, kiukweli kipindi cha Africa Bambataa chini ya Mrc C Charls Mhamiji na Le Sourveree Othman Njaidi na kufia mikononi mwa Malkia Sophia wa Kessy ndio kilinibadili “dini” mimi na kunifanya nianze kupenda Bolingo mpaka wa leo, lakini tangu Clouds wakitoe sijui kwa sababu gani wao ndio wanajua kimepoteza mashabiki wengi ambao hawana pa kukimbilia.

Huu ni moja ya nyimbo kali ya kiutu uzima ya wenge bcbg ambayo haijapewa promo ya kutosha East Africa,huu ni utunzi wake mzee mzima JDL,Wimbo unapatikana kwenye album ya SAYONS SERIEUX…tunacheza taratibu tena..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: