Werason kutambulisha katika tamasha la Fikin weekend hii.

Baada ya kurejea kundini mpiga gitaa mahiri wa WMMM Japonaise ambaye aliikimbia bendi yake kwa takribani miaka kumi sasa anaongoza kundi la wanamuziki wa WMMM kumalizia kazi ya Albamu yao Mpya.

Albamu ambayo inasubiriwa kwa hamu itakuwa na jina la Ezwi ezwi na inasema kuwa inamaliziwa katika Studio Ndiaye ambazo ni Studio anatumia zaidi mwanamuziki JB Mpiana ambaye kwa sasa pia anakamilisha albamu yake.

WMMM wanatazamiwa kuwa na tamasha kubwa la FIKIN ambapo pia watatumia muda huo kuzitambulisha baadhi ya nyimbo zao mpya. Werasson anataraji kuingiza mbili sokoni ambazo zote zinasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wake.

3 Responses to Werason kutambulisha katika tamasha la Fikin weekend hii.

  1. K'Odero says:

    Je, orodha sahihi ni upi wa albamu hizi namna zitakazoingizwa uwanjani?
    (Flash India, Ezwi Ezwi, Malewa II 2012)

  2. Your write up has proven super useful to me. I shared this on Facebook. Thumbs up!

  3. I enjoy the things you provide here. You have brought up a very superb points. I seriously appreciate individuals like you! I was doing crossfit on Sunday when I discovered this.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: