Ferre ajichimbia kutoa mpya

Mwanamuziki Ferre Gora naye amejichimbia studio ambako anapika albamu yake mpya inayojulikana kwa jina la « Boîte noire » ikimaanisha Black Box.

Akiongea jijini Kinshasa Fally amesema kuwa kazi hiyi ilianzia Marcadet studio huko Paris Ufaransa na itamaliziwa uchanganyaji jijini Kinshasa. Kama ilivyo kwa Fally Ipupa Ferre pia amekuwa na show nyingi nje ya Kinshasa na amesema kuwa Albamu hiyo ingewahi kuisha kwani ghani na baadhi ya vyombo ndio vinatarajiwa kumalizikia Congo lakini kwa sasa ana show nyingine ambazo ni Angola, Matadi na Muanda, show hizi zinamfanya achelewe kumalizia kazi yake ambayo yeye na Fally wanasemwa wanategeana kila mmoja akimtegea mwenzie atoe.

One Response to Ferre ajichimbia kutoa mpya

  1. Pretty certain he will possess a good study. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: