Risasi kidole ya Mashujaa Band.

 

Mashujaa Band ni Bendi inayokuja kwa kasi sana kwenye muziki wa Dansi huku ikiundwa na wanamuziki mahiri kutoka bendi kongwe ya Twanga Pepeta, hii imefanya hata muziki wao kutotofautiana ladha na ule wa Twanga Pepeta, hi ni kibao chao kipya hebu na we kisikilize kisha uniambie kuna tofauti na Twanga unayoisikia?

Advertisements

6 Responses to Risasi kidole ya Mashujaa Band.

 1. Malik Kondo says:

  hakuna tofauti kubwa ila Twanga ni twanga mshikaji asikuambie mtu. Yaani tofauti yao ni kama vile werrason na mpiana. Chagua mwenyewe.

 2. dachi.com says:

  utofauti upo upangiliaji wa sauti mashujaa iko juu yani anae panga hizi sauti yuko nimefatilia sana mashujaa ya zamani ilikuwa chini ya jado fidifos…….sasa hivi imebadilika kweli chazi baba yuko juu sana wewe malik kondo acha ushabiki utofauti upoo….chazi kabadilisha sana………..mimi naona kunautofauti….

 3. dachi.com says:

  kaka pius nilikuwa nataka unitafutie ngoma ya bad bakule inaitwa kilio cha linda tot

 4. Keya says:

  Mashujaa wako juu ila twanga nikisiwa cha burudani uspime.

 5. 5-inch touchscreen, integrated Wi – Fi, and 5 megapixel camera.

  Overall, this budget camcorder would be perfect for the amateur consumer or those looking for a back-up camcorder.
  The video looks extremely smooth at its lowest gain and
  you can even shoot in low light at 3d – B. The recording controls are simple and at your fingertips.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: