Wabunge, Kigoma All Stars na Tamasha la LekaDutigite wafunika!!

Mheshimiwa David Kafulila na Mheshimiwa Joshua Nassary na wabunge wengine wakitgita katika Tamasha la LekaDutigite lake Tanganyika Mjini Kigoma jioni hii, Tamasha hilo linatumbuizwa na kundi la wanamuziki ambao ama ni wazaliwa au wana nasaba na Mkoa wa Kigoma Kigoma All Stars ambao ni Diamond, Linex, Mwasiti, Baba Levo, Ommy Dimpoz, Queen Darleen, Recho, Peter Msechu, Banana, Ali Kiba, Maunda Zoro, Makomando na Chege . Picha zote na Mheshimiwa Zitto Kabwe.

Toka Shoto ni Halima Mdee, Mheshimiwa Zitto, Mh Esther Bulaya na Mh. Joshua Nassary wakigita

Mamia ya mashabiki wakifuatilia

2 Responses to Wabunge, Kigoma All Stars na Tamasha la LekaDutigite wafunika!!

  1. mkemiemi,kigoma ujiji says:

    kigoma raha asikwambie mtu bwana,ilikua ni siku nzuri sana kwa wakigoma wote bila kujali mmanyema au muha,tozali biso bana mboka moko!

  2. plenty of fantastic info and inspiration, both of which I need to have, thanks to provide such a useful info right here.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: