Thomas Ulimwengu anusurika Kifo baada ya ndege yao kupata hitilafu ikitaka kupaa.

Mchezaji Thomas Ulimwengu jana amenusurika kifo akiwa na wachezaji wenzake wakati ndege waliyokuwa wakisafiria ilipoaacha njia na kufakamia pori.

Ulimwengu ambaye alikuwa na wachezaji wenzake walikuwa wakitoka mji unaitwa Kashobwe kurejea Lubumbasi, “Dakika chache zilizopita kungeongelea mambo mengine labda ningeitwa MAREHEMU au ningekua hospital….NIKO NDANI YA NDEGE MM NA WACHEZAJI KAMA KUMI NA TANO NA VIONGOZI NA MAKOCHA NDEGE IMEACHA NJIA NA KUINGIA VICHAKAN N BAADA YA KUSHINDWA KUPAA…’MUNGU MKUBWA” alisema Ulimwengu kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Spoti starehe iliwasiliana na Ulimwengu ambaye alithibitisha habari hizo na kusema kuwa “ni kweli Bro tulikuwa tulikua tunatoka sehemu moja inaitwa kashobwe tunaelekea Lubumbashi ndipo ndege ikagoma kuruka na kuingia vichakani”. alisema Ulimwengu na kuongeza kuwa aliingiwa na hofu kubwa ila anamshukuru Mungu kwa sasa amerejea kwenye hali nzuri kiasaikolojia.

Thomas Ulimwengu yuko Kongo akichezea timu ya TP Mazembe na tunashukuru Mungu umepona na uko salama.

Advertisements

4 Responses to Thomas Ulimwengu anusurika Kifo baada ya ndege yao kupata hitilafu ikitaka kupaa.

  1. Anonymous says:

    kiukweli Mungu ndo kila kitu jina lake na lihimidiwe.

  2. I believe this is often an informative submit and it can be knowledgeable and very practical. I’d want to thank you for your efforts you’ve made in creating this post.

  3. Very good web site and fantastic and content articles.precious design, as share excellent things with very good ideas and ideas.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: