Thomas Ulimwengu anusurika Kifo baada ya ndege yao kupata hitilafu ikitaka kupaa.

Mchezaji Thomas Ulimwengu jana amenusurika kifo akiwa na wachezaji wenzake wakati ndege waliyokuwa wakisafiria ilipoaacha njia na kufakamia pori.

Ulimwengu ambaye alikuwa na wachezaji wenzake walikuwa wakitoka mji unaitwa Kashobwe kurejea Lubumbasi, “Dakika chache zilizopita kungeongelea mambo mengine labda ningeitwa MAREHEMU au ningekua hospital….NIKO NDANI YA NDEGE MM NA WACHEZAJI KAMA KUMI NA TANO NA VIONGOZI NA MAKOCHA NDEGE IMEACHA NJIA NA KUINGIA VICHAKAN N BAADA YA KUSHINDWA KUPAA…’MUNGU MKUBWA” alisema Ulimwengu kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Spoti starehe iliwasiliana na Ulimwengu ambaye alithibitisha habari hizo na kusema kuwa “ni kweli Bro tulikuwa tulikua tunatoka sehemu moja inaitwa kashobwe tunaelekea Lubumbashi ndipo ndege ikagoma kuruka na kuingia vichakani”. alisema Ulimwengu na kuongeza kuwa aliingiwa na hofu kubwa ila anamshukuru Mungu kwa sasa amerejea kwenye hali nzuri kiasaikolojia.

Pia nilimuuliza kama ni ile ndege mpya ya TP Mazembe akaniambia hapana ilikuwa ni ndege nyingine ila ni ya TP Mazembe. Thomas Ulimwengu yuko Kongo akichezea timu ya TP Mazembe na tunashukuru Mungu umepona na uko salama.

3 Responses to Thomas Ulimwengu anusurika Kifo baada ya ndege yao kupata hitilafu ikitaka kupaa.

  1. Hello to every one, it’s truly a Thomas Ulimwengu anusurika Kifo baada ya ndege yao kupata hitilafu ikitaka kupaa. | Spoti na Starehe nice for me to pay a quick visit this website, it consists of valuable Information. Situs Togel Online Aman Terpercaya http://dewi4d.org/

  2. Hello, I see that this page is full of waste. What is it ? Is it spam ? Many posters have left unuseful comments, I believe a website like this should be taken down and offline as it does not provide any value added to the other people. #tangoinlove #elementotango

  3. Nice facts, fantastic and important layout, as share superior things with great ideas and ideas.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: