Maisha Park Agreement; Mapatano yaliyolenga kuondoa tofauti za Wanamuziki wa Congo.

Tujikumbushe siku MAISHA PARK agreement ilivyosaidia kuandoa migogoro miongoni mwa wanamuziki nguli wa Congo,japo wengine mkutano na mazungumzo hayo yaliayoandaliwa na mzee Tabu Ley pamoja na Simaro Lutumba na kufanyika kwenye hiyo park iitwayo maisha ndani ya kinshasa haukuwasaidia sana kwani bado wameendelea kuwa mahahsimu mpaka leo,migogoro mikubwa iliyoweza kuzikwa na maisha park agreement kwa kiasi kikubwa ni ule wa Jb na Koffi na pia wa Werra na Jb na pia kwa kiasi fulani wa Koffi na mzee Papa Wemba…hebu tizama kwa uchache sehemu tu ya video hiyo ya maisha park agreement,hapo utaona kwanza mbwembwe za baadhi ya wanamuziki wakati wa kuingia kwenye ukumbi wa mkutano huo wa manguli wa muziki kinshasa, tazama kuanzia dk ya 09:15 uwasikie koffi, Jb na Papa Wemba wanasema nini kwa pamoja na kisha wanaimba wimbo mulolo kwa pamoja………..baada ya hapo utamuona na kumsikia Le Roi Pelee Marie Paul, Bozi Boziana, mama Tshala Muana nae atakua na yake na baadae mtawaona wote kwa pamoja wakipata chakula kwa pamoja huku utani wa hapa na pale ukiendelea koffi akiongoza kwa masihara mezani, hii ilikua 2005 mwishoni, kuna mahali utamuona madilu anamwita koffi wee Antony…wee Rambo mdogo wangu, Koffi ataitika na kufanya masihara kidogo ambapo kila mtu atacheka..

Advertisements

5 Responses to Maisha Park Agreement; Mapatano yaliyolenga kuondoa tofauti za Wanamuziki wa Congo.

 1. Anonymous says:

  ahsante sana kwa video hii naomba sana ikiwezekana kupata mtu wa kutafsiri kwa kiswahili au kiingereza kujua wanaongea nini..shukrani

 2. Anonymous says:

  Hakuna kama hii blog,najutia kuchelewa kuijua,asanteni sana,kweli koffi ana masihara sana huwezi amini

 3. Wilmer Faes says:

  I used to be very happy to search out this internet-site.I wished to thanks to your time for this wonderful read!! I definitely enjoying each little little bit of it and I have you bookmarked to take a look at new stuff you weblog post.

 4. I think this can be an informative publish and it is actually experienced and pretty useful. I would want to thank you to the efforts you’ve manufactured in creating this post.

 5. I unquestionably delight in every single very little bit of it and I’ve you bookmarked to examine out new stuff of one’s web site a will have to study weblog!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: