JB Mpiana kutoa Albamu mbili Mpya

Mwanamuziki JB Mpiana “Salvatore de la Patria” na kundi zima la Wenge BCBG wako Studio akimalizia Albamu yake mpya ambayo itakuwa maalumu kwa ajili ya kutoa shukrani kwa mfadhili na mmiliki wa studio Ndiaye ambayo amekuwa akifanaya nayo kazi takribani miaka 10 sasa.

JB amesema kuwa albamu hiyo kwa sasa inakaribia kukamilika, habari zinasema kuwa Albamu ya pili ya kundi hilo ni Albamu yao ya kawaida ambayo inakuja baada ya Albamu ya Soyons sérieux. JB ambaye albamu yake ya sasa ya Soyons Serieux inafanya vizuri bado anatazamiwa kuachia albamu hiyo baada ya katikati ya mwaka huu ina maana kuanzia mwezi wa nane.

4 Responses to JB Mpiana kutoa Albamu mbili Mpya

 1. peter says:

  Safiiiiiiii namkubali sana Baba Daida!!! nzembela!!!

 2. mwana congo says:

  Jamani hivi ile tamthilia ya jamaa zetu wa upande wa pili iitwayo malewa 2 itaisha lini?au ndio kama dayz of our lives isiyo na mwisho?hebu kama mpo humu watu wa maison mere fungukeni lini malewa 2 itamalizika maisha mengine yaendelee

 3. I absolutely take pleasure in every single little little bit of it and I have you bookmarked to check out new things of one’s website a must study weblog!

  • Cbd Vape says:

   This is an excellent, an eye-opener for sure! I simply got to let you know that I am super impressed. This page is awesome! And that can often be a very unique kind of issue. You’ve just made my day a great one!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: