Chezea Yanga weweee!!

June 7, 2012

Force de Pakeeee aka Nguvu ya Pesa Yanga Africa Kelvin Yondani huyuuuuuuuuu hapa na mamilioni yake… Dole gumba kabanggggg Chezea Yanga Bingo weweeeeee. Picha na Mdau na mnazi wa Yanga Mac Temba.

Pia habari tetesi zinasema inawezekana Watanzania wakamuona tena Mbrazir Marcio Maximo safari hii akiifundisha Dar Yanga African, kazi kwenu ingawa ni tetesi zenye ukweli ndani yake.

Chini ni sehemu ya Mkataba wa Yondani na Yanga, bado tu mnabishaaaaa??????????????


%d bloggers like this: