Blatter na Penati

Kwa wale watu wa soka au KANDANDA Rais wa FIFA Sepp Blatter anasema hataki mechi iamuliwe kwa mikwaju ya penati (MATUTA) baada ya dk 120…unaonaje? yupo sahihi au amekengeuka kidogo….

Advertisements

2 Responses to Blatter na Penati

  1. Neddy says:

    Maoni yake yanatia shaka hasa ukiangalia yametolewa baada ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kuamuliwa kwa mikwaju ya penati ambapo Chelsea waliifunga Buyern Munich 4-3, pengine alipenda kuona Buyern wanakuwa mabingwa lakini hata kama ni kweli basi alitakiwa asioneshe hisia au mapenzi yake yameegamia wapi kwasababu yeye ni kiongozi wa chombo kikubwa kabisa cha soka duniani si kiongozi wa klabu wala timu ya taifa lolote. Anaposimama au kuongea anatambulika ni rais wa FIFA. Akumbuke kuwa soka ina utamaduni wake na penati ni moja ya utamaduni wa soka na zimekuwa ndio zina msisimko mkubwa katika mpira wa miguu na pongezi nyingi zimuendee mvumbuzi wa penati katika mpira wa miguu( William McCrum 1890 ). Akumbuke kabla yake watu wa mpira wa miguu walikuwepo na wakafanikiwa kutengeneza mpira uwe ndio mchezo unapendwa na kuvuta hisia za watu wengi zaidi duniani kuliko mchezo mwingine wowote. Na ipo siku tutaambiwa mpira wa miguu usiamuliwe kwa magoli sijui tunaenda wapi dunia hii. Jamaa kachemka sana na ndio maana watu wanaulalamikia uongozi wake na hata ushindi wake kwenye uchaguzi uliopita ulikuwa umegubikwa na kashfa za rushwa na hila za hapa na pale.

  2. Lanora Bawer says:

    Really nice site and exceptional and content articles.important style, as share excellent stuff with superior suggestions and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: