Koffi na KORA

Tuzo za KORA ni moja kati ya tuzo zilizokuwa kubwa sana kwa Afrika, na ndio zinazowapa hata muhimili Ma Werasonike humu ndani kila mara linapokuja suala na ubishi kati ya JB Mpiana na Werasson kwani Werasson aliwahi kupanda na kuchukua Tuzo kadhaa za Kora. Binaafsi sijui kama bado tuzo hii iliyokuwa na heshima yake bado ipo maana nina muda sijaisikia.

Basi naomba tujikumbushe jinsi Koffi na kundi lake la Quartier Latin walivyofunika kwenye moja ya tuzo hizi huko Afrika ya Kusini.

2 Responses to Koffi na KORA

  1. laurent nkunda says:

    tuzo hii ya KORA bado ipo na inafanyika kila mwaka suncity south africa,tatizo ni kwamba local chanels kama ITV zilizokuwa zinajiunga moja kwa moja wakati wa tuzo hizo,hazifanyi ivo tena.
    tuzo za kora zimekua na heshima kubwa ktk bara zima la africa,mpiana anaisikia hii tuzo kwenye tv tu,hata kualikwa tu kwenda mule kwenye ukumbi hajawahi

  2. Hadj le jbnique says:

    Amewahi mpaka kuwa nominated through TH fuatilia vizuri,kama kweli bado zipo unaweza kutusaidia angalau kutukumbusha mwaka jana mshindi wa wimbo bora au video bora alikua nani?au mshindi yeyote tu,na mwaka huu labda zimefanyika au zitafanyika mwezi gani?ku google ruksa pia

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: