Fally alipowapagawisha Drogba, Yaya Toure, Kolo Toure & Adebayor na wengineo

Fally licha ya kupiga show kwa style ya play back wiki iliyopita katika jiji la Manchester Uingereza alizikonga vilivyo nyoyo za wapenzi wakiwamo ma super star wa premier league ya uingereza wanaotoka africa wakiongozwa na Didier Drogba, Emanuel Adebayor, Kolo Toure, Yaya Toure, Alex Song na mastar wengine wa soka akiwemo mcongoman Nonda Shaban,tizama video hasa kuanzia dakika 07:06 mpaka dakika 10:10 na kuendelea uone Yaya,Kolo na Drogba walivyolivamia na kulishambulia jukwaa…

6 Responses to Fally alipowapagawisha Drogba, Yaya Toure, Kolo Toure & Adebayor na wengineo

 1. K'Odero says:

  Aaaaaa.. so refreshing sana hii

  Nawaona Ashley Young wa Man-U na Micah Richards na Joleon Lescott wa Man City wakifurahia kwa umbali najua wanashangaa hii style inachezwaje

  Ahsante Pius, ni raha kubwa kuwaona wachezaji soccer wa Africa wakijumuika na mwanamuziki mwafrica kwenye nchi ya kigeni bila kujali ni timu gani mtu anachezea. Didier Drogba, Yaya Toure, Kolo Toure, Emmanuel Adebayor, Alex Song,…..na orodha inaendelea

 2. Anonymous says:

  kiufupi show ilikua ya classy na ilihudhuriwa na wachezaji wengi wa premier league wakiongozwa na wachezaji wa man city,show ilifanyika katika jiji la manchester katika wiki ambayo city walitwaa ubingwa

 3. kiukweli shoo ili kuwa nzuri,yaani fally alifanya maajabu katika jiji la manchester.

 4. Anonymous says:

  HONGELA MBEYA CITY KUCHUKUA NAFAS YA TATU

 5. Anonymous says:

  NESTORY MGENI NAMPONGEZA SAHAN KIPANGA WA MBEYA CITY NA MPA SALAM MPENZI WANGU OLLY MUHAGAMA

 6. I undoubtedly appreciate just about every very little bit of it and I have you bookmarked to examine out new things of the site a will have to study blog site!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: