CHAI NGENGE Wenge BCBG Featuring EBOA LOTIN wa Wenge Maison Merre

Natamani JB MPIANA na WERRASON wawaruhusu vijana wao hawa Chai Ngenge na Eboa Lotin waurekodi huu wimbo wao mkali, sijui kama itawezekana but naamini hakuna litakaloshindikana kama busara zikiwekwa mbele, kiukweli wimbo mimi nimeupenda licha ya kuwa wameimba hapa studio na magitaa mawili kama wakiurekodi utatoka bomba, ni wimbo flani wa kunung’unika hivi, wasikilize hapa wakihojiwa na mtangazaji Tonny Nkoko.

Chai Ngenge ni mwanamuziki wa wenge bcbg ya De La Patria Jb Mpiana wakati Eboa ni mwanamuziki wa Wenge Maison Mere ya De La Forret Werrason.

Vitu Exclusive kama hivi utavipata Spoti na Starehe Blog pekee.

4 Responses to CHAI NGENGE Wenge BCBG Featuring EBOA LOTIN wa Wenge Maison Merre

  1. K'Odero says:

    Hata ingawa vigogo wenyewe wamekuwa hawapatani kwa muda mrefu, nadhani kati ya members wa bendi wenyewe kuna wenye hawana chuki saaana na wenzao kutoka bendi hizo sambamba na ninaamini siku moja kutakuwa na amani wa kudumu kati ya WMMM na WBCBG. Fikra zangu tu najua kuna maoni tofauti

  2. werrasonique forever says:

    yah,even jb na werra kwa sasa hali si mbaya sana,wanawasiliana na kutembeleana wakati wa matatizo,rejea ajali ya werra dec 2011,jb alijitoa sana

  3. Its my fantastic pleasure to visit your site and to love your excellent posts here. I like it a good deal. I can feel that you simply paid much consideration for all those posts, as all of them make sense and therefore are very handy.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: