seguin mignon wa Wenge BCBG

Alain Prince Makaba 188 Memoir et Mignon Garcon Seguin

Seguin Mignon(kulia) mpiga drums wa bcbg wa sasa enzi hizo akiwa na Alain Prince Makaba”internet”, Ukisikiliza Omba Remix ile Live kuna mahala JB Mpiana alilalamika sana na kuanza kuwaita wanamuziki wake akiwataja sana Afande, Caludji na kisha kuwataja wengine alianza na Seguen kwa wanaosikiliza vizuri Seguen aliliza sana Drumz JB alipomuita huyu ndiye aliyechukua mikoba ya Titina Alcapolne na kwa kweli kazi yake inasikika.

Msikilize JB hapo chini

Advertisements

7 Responses to seguin mignon wa Wenge BCBG

 1. K'Odero says:

  Seguin Mignon ana kipawa, ukweli, lakini hawezi kumfikia Papy Kakol

 2. kaka unapenda kushindana?hajakuuliza kati sguin na papy kakol nan zaid?

 3. mwajuma zungu says:

  tusipende kufanya comparison ya bcbg na wmmm kwenye kila jambo jamani,tutashindwa kuwa independent kwenye kutoa maoni yetu humu.

  I alwayz luv Alain Makaba,yuko wapi huyu mkaka siku hizi jamani?

 4. james masele says:

  Jamani bana BCBG… Maombi yenu yanahitatajika sana ili huu mzimu wa kuondokewa na wanamuziki ushindwe… Binafsi alwayz namuombea Alain Mpela arudi kundini. Nammic sana.

 5. Wonderful information, exceptional and beneficial design, as share great stuff with great concepts and ideas.

 6. Paige Calo says:

  I think this can be an informative post and it really is educated and pretty valuable. I would like to thank you for that efforts you’ve got manufactured in writing this article.

 7. I’m really enjoying the theme/design of your web site. Do you ever run into any browser compatibility issues? A couple of my blog audience have complained about my site not working correctly in Explorer but looks great in Chrome. Do you have any suggestions to help fix this problem?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: