MTUNZI WA REMISE ET RAPRISE

Original ya Mukulu wa Bakulu

Na Hadji

KUMBE MTUNZI HALISI WA WIMBO REMISE ET RAPRISE “TRESSOR MPUTU” WA MAISON MERE SIO WATA NI HUYU HAPA!!

Kumbe Mukulu wa Bakulu ndio mtunzi asilia wa wimbo mpya unaotesa wa Heritier Watanabe na maison mere???!

Msikilize Mukulu hapa then uwasikilize Werra na Wata kwenye copy ya wimbo huo huo mmoja then utoe maoni yako.Wimbo huu ambao Werrason na Heritier wameubadilisha jina na kuuita Remise et Raprise a.k.a. Tressor Mputu Mukulu wa Bakulu ambae ni shabiki mkubwa wa Jb mpiana aliuimba kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la Fikin 2010

Copy ya wana

6 Responses to MTUNZI WA REMISE ET RAPRISE

 1. didistone says:

  kumbe wimbo wenyewe wa kuiga,wizi mtupu,kweli werrason na kundi lake sasa wameishiwa na wanaelekea shimoni,kelele miiingi kumbe kuiga iga tu

 2. mkemimi,kigoma,ujiji says:

  lakini wacongo wengi hii ni kawaida yao,si mnakumbuka ugomvi wa koffi na wazekwa??

 3. Anonymous says:

  ..nilisema hapo nyuma kwamba hii blog ni ya kishabiki sana,na haistahili kuwa hewani…naweza sema ni ya kidaku!!!! kuna uthibitisho gani kuwa watta plus kaiga huo wimbo…ni si huyo mukulu…maana hata mwandishi kaweka alama ya kuuliza…????ina maana anthibitisha kua ni udaku….hata mfanye nini ngiama makanda yuko juu kwa jb…pamoja na promo mnayompa kwenye hii blog.

 4. Hadj le jbnique says:

  Uthibitisho ni mahojiano ya wata na mtangazaji wa tv moja ya congo,mbona hii ni kawaida tu wala isiwaumize kichwa

 5. Agnus Boles says:

  Its my excellent pleasure to visit your blog and to appreciate your good posts here. I like it a whole lot. I can come to feel which you paid substantially awareness for anyone posts, as all of them make sense and are pretty valuable.

 6. Maria Kohan says:

  After I believed about issues like: why this kind of data is totally free right here? Whenever you compose a book then at the least on offering a guide you will get a percentage, due to the fact. Thank you and excellent luck on informing people today extra about this.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: