RIP Mafisango

Juma Nyosso kushoto na John Bocco ‘Adebayor’ kulia wakiwa wamebeba jeneza, Picha Zote na Shafi Dauda

Wachezaji wa Timu ya Taifa wakiwa wmebeba Jeneza lenye mwili wa Patrick Mafisango aliyefariki jana asubuhi kwa ajali ya Gari. atasafirishwa leo kupelekwa kwao DRC Congo kwa mazishi. Mafisango alizaliwa Congo lakini alikuwa na uraia wa Rwanda ndio maana aliweza kuchezea timu ya Taifa ya Rwanda.

Nahodha wa Simba Juma Kaseja akisaidiwa baada ya kushindwa kujizuia na kuangua kilio kiasi cha kuishiwa nguvu

Kaseja ni huzuni na kilio

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dk Fennella Mukangara (wa pili kutoka kushoto)akiingia Uwanja wa TCC, Picha Zote na Sgafi Dauda

Mungu akupumzishe mahala pema peponi – Amen

Advertisements

9 Responses to RIP Mafisango

 1. Pore sana yanga kubarini matokeo hiro ndokabumbu

 2. Rip mafisango tunakuku mbuka kaka kwa mchango wako daima tuta kk mbuka RIP JEMBE

 3. Anonymous says:

  duuu nimekukubali
  dullah wa mwanza

 4. Anonymous says:

  RIP Jembe.shafi kaka jitahidi angalau kipindi cha sports laundap cha j3 uweunatupatia habari kupitia shf dauda sports huku clousfm haipatikan dullah igombe mza

  • jesse grillo says:

   Using your advice has seriously increased my street credit. Any additional suggestions or insights? awesome work, keep it up. Excellent post you have got here.

 5. Shafi endelea kutupa habar za michezo mpya mpya

 6. cazorla says:

  r.i.p patric mutesa mafisango

 7. saidi mwangu says:

  lala salama patric mutesa

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: