Eve Sukari Live

Kiukweli kuna watu huwa nawamiss sana tangu Allain Mpella aondoke Wenge BCBG kiukweli kwa sisi tunaosikiliza sauti ya kila amtu kiukweli namiss sana hasa walivyokuwa wakipokezana ama na Aimelia au JB Mpiana ilikuwa balaa, Sikiliza Eve Sukari hii kisha nambie unakumbuka nini?

Ijumaa njema.

Advertisements

2 Responses to Eve Sukari Live

  1. Hadj Le Jbnique says:

    Hii ilikua ni moja kati ya concert za mwisho mwisho kabisa kabla ya jb mpiana na wenzake kujiondoa wenge na kuanzisha bcbg,hapo ni abidjan ambapo wenge siku hiyo katika concert hiyo moja walipanda jukwaani makundi mawili tofauti,moja ni lile la werrason,ferre gola,le general kwek didier masela na adolphe dominguez ambao walikuja kujiita maison mere baadae na kundi la pili ni hili hapo kwenue Ave maria ambapo lilikuwa na Jb pamoja na blaize bula,mpela pamoja na aimelia na tutu kaludji wao walipanda kotekote siku hiyo japo jb alipojiondoa wenge nao walimfuata,hii ni sehemu ya pili ya concert hiyo ambapo werra na wenzake waliwakilisha vilivyo na kukonga nyoyo za wana abidjan

  2. Ndekwa Mwangata says:

    Dah! Nilikuwa sichoki Kuangalia Live Abdijan…. Wenge Ilikuwa ni Zawadi toka Kwa Mungu Basi Hakuna Kingine.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: