PATRICK MUTESA MAFISANGO Updates

385662_412941292073589_11436933_n

Kwa mujibu wa Mitandao jamii ambamo picha hii imewekwa, Hili ndilo gari alilopatanalo ajali Patrick Mafisango usiku wa kuamkia leo mitaa ya Chang’ombe.

Mipango ya kuzika au kusafirishwa inafanyika na Kiongozi wa Simba Ismail Aden Rage amesema ataujulisha Umma baada ya kuwasiliana na kuzungumza na familia ya Marehemu.

Mungu amlaze mahala pema peponi Amen.

Advertisements

12 Responses to PATRICK MUTESA MAFISANGO Updates

 1. Anonymous says:

  Polen xana simba kwa msiba uliowakuta mungv aiweke roh6 ya marehemu mahali pema pepon ameni.

 2. farmerman says:

  mungu ailaze roho yake pema peponi

 3. Sio sir simba tumepata pigo kubwa but mbinguni pia wanahitakika wachezaji so anaenda kuchez soka mbinguni. mungu hakosei

 4. Anonymous says:

  polen sana simba kwa msiba uliowakuta mlimpenda ila mungu kampenda zaidi yenu,

 5. monyaa says:

  polen sana simba kwa msiba uliowakuta mlimpenda ila mungu kampenda zaidi yenu,

 6. Kidula tanga says:

  Tangulia mpendwa we2 mafisango kwan hiyo ndio kazi ya mungu daaaaaa. Inauma sana

 7. Anonymous says:

  Pole sana wana simba

 8. ibrahim mawlana says:

  poleni sana watani wa jadi kwa kuondokewa na jembe lenu

 9. Anonymous says:

  Naiman kufanya vibaya simba mwaka huu pengo la mafisango limeonekana mung ailaze roho mahala pema

 10. Wai Guiney says:

  plenty of wonderful information and facts and inspiration, each of which I will need, due to present this kind of a beneficial details right here.

 11. I am really enjoying the theme/design of your website. Do you ever run into any web browser compatibility problems? A number of my blog audience have complained about my blog not working correctly in Explorer but looks great in Firefox. Do you have any suggestions to help fix this issue?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: