Utani mwingine bwana…!!

385699

13 Responses to Utani mwingine bwana…!!

 1. edmas says:

  Hana jipya huyo.

  Hawezi kuufuta ule wimbo wetu wa YANGA HUYOOO AMEOLEWA, MAHARI ISHATOLEWAAAA.

 2. tuntu says:

  SIMBA NDIYE BWANA WA YANGA, TUTAENDELEA KUMLA URODA TU.

 3. Anonymous says:

  poleni sana wanyama kwa kushindwa kusonga mbele kizembe!

 4. Anonymous says:

  mwenyekiti wenu RAGE kawataka mjitokeze kwa wingi kama siku ile timu ikitoka algeria kuipokea timu yenu kabambe

 5. Mwekundu wa Terminal says:

  Comment hizo mbili hapo ju inaonyesha ni jinsi gani wpz wa Yanga wanavyokereketwa na mafanikio ya Mnyama.
  Tatueni migogoro yenu na mjadili kipigo kwanza kabla ya kujipongeza kutolewa kwa simba.

 6. yanga bomba says:

  Naona mdau una mning’inio-hangover za kipigo cha sudan,kipigo bado kinakulevya,ni mafanikio yepi unayazungumzia?kimataifa bado yanga iko juu licha ya migogoro yanga ndio pekee katika michezo yote kiujumla ambayo inashikilia kikombe ikiwa ni timu bora kuliko zote ktk ukanda mzima wa africa mashariki na kati,sasa nyie wenzetu ni kama vuvuzela tu kelele nyingi lkn kumbe ubingwa wenu wa kombe la mbuzi unaishia hapo magomeni tu hauvuki hata mpaka wa nchi moja wenyewe ndio mnaita mafanikio

 7. Mwekundu wa Terminal says:

  KUMBE WW YANGA BOMBA NI ZERO KABISA HATA DATA SAHIHI ZA MASHINDANO YA KIMATAIFA HUNA, POLE SANA. USIONGEE VITU USIVYOVIJUA. HUJUI HATA REKODI ZA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA…! YANGA INA REKODI IPI ILIYOIZIDI SIMBA. USIKURUPUKE DOGO.

 8. Mwekundu wa Terminal says:

  EMBU GOOGLE CECAFA NA CAF UONE REKODI ZA SIMBA NA YANGA, USIONGEE KAMA UPO KILABU CHA POMBE ZA KIENYEJI.

 9. yanga bomba says:

  Acheni kupiga mayowe kwa kufukua vitabu vya kihistori ooh sijui tulifikaga fainali ooh sijui sisi ndio kiboko ya waarabu inahusu?leteni facts kama mimi naongea facts kwamba huna haja ya kufukunyua vitabu vya historia kujua nani bingwa wa ukanda mzima wa africa mashariki na kati kwenye mambo ya soka,hili hata nyie wanyama mnalifaham sema mnataka kuleta ligi ya ubishi wa kitoto,ukweli palepale yanga ndio bingwa wa africa mashariki na kati licha ya migogoro,huna haja ya ku google nenda jangwani ukalibusu kombe pekee la kimataifa ililonalo tanzania

 10. mwembe yanga says:

  hahahaaaaa yuanga bomba unawapatia kweli wanyama hapo umewashika pabaya kuhusu kombe pekee la kimataifa lilipoa tanzania kwa sasa,sio tulifikaga fainali,tuliwatoaga ismailia,tunataka kusikia ya sasa,mna nini mkononi kuthibitisha ubora wenu au mna stori nyingi tu basi mnataka mnatambulike bora kuwashinda hata wenye vikombe!

  mnajisahaulisha kwamba mafanikio kwenye soka ni vikombe sio nidhamu wala hizo hadithi zenu ambazo kama hamna kikombe hata cha ushindi wa pili cha kimataifa maneno yenu yanaonekana kama vuvuzela tu,kelele mingi zinazokokera masikioni lakini hazisaidii kuipa timu ushindi,rejea bafanabafana kwenye world cup south.

 11. yanga bomba says:

  Naona mmefiwa,poleni sana,nawapa break kwa muda ili mpate muda wa kumlilia mchezaji wenu.poleni kwa msiba huo mkubwa.

 12. When I imagined about points like: why this kind of details is at no cost right here? When you publish a guide then a minimum of on offering a guide you receive a percentage, for the reason that. Thank you and good luck on informing persons a lot more about this.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: