Saya Cinta Kamu Mama

May 13, 2012

IMG_20120422_133157

Leo ni Siku ya Mama Duniani, Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza akina mama wooote kwa siku kama hii, bila kumsahau Mama Yangu Mzazi Adelaida John Kwalewele aka Binti Kwale, Pamoja na kufikisha miaka 80 bado umekuwa na mapenzi mema kwa wanao wote na huwa nafarijika tuko wanane kwetu mi nikiwa mtoto wa Mwisho mama huyu huwa anatupigia simu na kutukumbusha siku zetu za kuzaliwa kila mmoja bila kusahau, na ukubwa nilionao bado kwako ni mtoto. Kuwa na wewe kwa umri huo ni bahati kwetu kwani kuna ambao leo hii walishaondokewa na Mama zao kwa mapenzi ya Mungu, basi tuwaombee na wao ili siku moja tunaweza kukutana nao kwani Wamalay wana msemo wana sema “mtoto anaweza kuwa na Baba Saba ila huwa na Mama mmoja tuu”. wakimaanisha Baba halisi hujulikana na Mama isipokuwa kwa msaada wa DNA la sivyo hata mama anaweza changanya madesa kama hana kumbukumbu nzuri.

Happy Mamaz Day kwa wote,

Saya Cinta Kamu Mama, I love u Mama, Nakupenda Mama.


GARI INAUZWA 8,500,000/- (MAONGEZI YAPO)

May 13, 2012

2

1

3

TOYOTA DUET

1000CC

70,000 KM

AUTOMATIC TRANSIMISSION, Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Tinted Glass / A/C:front / Power Steering / Digital Meter / AM/FM Radio / AM/FM Stereo / CD Player / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors

DUTY FULL PAID, REGISTERED, T800 B**, INSURANCE PAID COMPREHENSIVE.

Very clean interior
Looks & runs great
Runs & drives great

DALALI HATAKIWI***

8,500,000/= MAELEWANO YAPO

Mobile: 0713 666616, 0785 666616

Email: piusmicky@gs1tz.org


%d bloggers like this: